Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
4 Reactions
63 Replies
819 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Wakuu salaam...... Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz.... Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na...
1 Reactions
10 Replies
152 Views
Shirika la Afya Duniani WHO limeipendekeza Tanzania sanjali na Nchi zingine kuwa miongoni mwa Nchi ambazo zimepewa nafasi ya kuweka mgombea ambae anaweza kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO Kanda...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukifuatilia kwa umakini na ukatafakari kwa undani na ukatizama kile anachokifanya Mheshimiwa Makonda Mwamba Mwenyewe katika majukumu yake anayokuwa amepewa na kuaminiwa na...
3 Reactions
37 Replies
344 Views
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa...
39 Reactions
203 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
3 Reactions
7 Replies
43 Views
Mzuka wanajamvi! Kila jamii duniani inaamini vitu flani hasi ama chanya. Kwa mfano hapa Tanzania kuna watu ukiwapa pesa kwa mkono wa kushoto hawakubali, kujitawadha kwa mkono wa kulia siyo...
3 Reactions
5 Replies
55 Views
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao. Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi; Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
13 Reactions
47 Replies
881 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,463
Posts
49,605,070
Back
Top Bottom