Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.
Nimeona...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa safu yote ya Mawaziri chini ya Amiri Jeshi Mkuu Mama Samia.
Nieikubali safu hii ya mawaziri aliyo ipanga wanachapa kazi.
Kila nikiwasikiliza na kuwatizama...
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni.
Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua
viwanja...
🇿🇲 Mwaiseni! 🇿🇲
This thread is for all Zambians and friends of Zambia who want to exchange stories and news from home.
To those living in Tanzania or other countries: What do you guys miss the...
Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Waziri wa Maji Juma Aweso ameliambia Bunge na Wananchi kwamba Samia ni suluhu ya matatizo ya Maji Nchini na kwamba ameonesha Kwa vitendo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.