Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee. Hii chuma ni...
4 Reactions
5 Replies
6 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukifuatilia kwa umakini na ukatafakari kwa undani na ukatizama kile anachokifanya Mheshimiwa Makonda Mwamba Mwenyewe katika majukumu yake anayokuwa amepewa na kuaminiwa na...
5 Reactions
50 Replies
507 Views
Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu...
2 Reactions
15 Replies
80 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
20 Reactions
165 Replies
4K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
164K Replies
5M Views
Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
1 Reactions
20 Replies
498 Views
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni. Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua viwanja...
8 Reactions
33 Replies
842 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje...
25 Reactions
152 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,512
Posts
49,574,769
Back
Top Bottom