Ndugu zangu Watanzania,
Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
Habarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta,
Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili...
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari...
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza.
Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.