Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni mmojawapo wa Watanzania ambao kwa kweli siamini hata kidogo kwamba jeshi letu la Polisi linafanya kazi kwa weredi. Nina namna fulani ya dharau juu ya utendaji wa mambo mengi yanayohusu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
5 Reactions
22 Replies
890 Views
Bei ya Hisense smart tv 32" - 380,000 40" - 580,000 43"- 650,000 50" - 899,000 55"- 1000,000 58"- 1,200,000 Warranty mwaka mmoja (miezi 12) Tv mpya dukani karibuni, WhatsApp number 0753430357...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
9 Reactions
24 Replies
110 Views
Alhamisi inaendaje wakuu? Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine...
9 Reactions
135 Replies
3K Views
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari...
13 Reactions
26 Replies
739 Views
Jipatie Drone aina ya KF 102 yenye sifa zifuatazo •HD 4K camera •2 axis Gimbal •1.2 kilometre flying range •25 minutes flight time per battery •5Ghz Wifi frequency transmission •Altitude hold...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda. #MchongoLive
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni. Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele...
7 Reactions
52 Replies
725 Views
Baada ya Malalamiko Yaliyodumu kwa Miezi kadhaa na Kufikia Hatua baadhi ya Hospitali Binafsi kususia ama kuzuia Matumizi ya Bima hiyo hatimaye Leo Dawa 178 Zimerudishwa Tena kwenye Kitita Hicho...
1 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,475
Posts
49,605,285
Back
Top Bottom