Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI. NIMESHAWISHIKA LEO KUAMIN
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
13 Reactions
67 Replies
780 Views
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa. Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!! Huu ni...
7 Reactions
73 Replies
1K Views
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo...
5 Reactions
17 Replies
341 Views
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
20 Reactions
167 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu? Gari yangu aina ya Toyota RAV 4 miss TZ jana ilinasa kwenye dimbwi la maji kwenye kina kirefu kidogo ikabidi mpaka tuite watu yale magari ya breakdown waje waitoe baada...
1 Reactions
37 Replies
245 Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
23 Reactions
202 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanajukwaa. Mimi nimpenzi wa kusoma story,Naombeni msaada kwenu natafuta story ya kusoma humu JF weekend hii. kiufupi sina appointment yoyote na nilitegemea waandishi wangu...
7 Reactions
103 Replies
4K Views
Ifahamike kwamba mpaka sasa ni nchi mbili tu duniani zilizo tengeneza makombora hayo yaani Urusi na China. Marekani alijaribu mara zaidi ya mbili lakini akafeli! Je ni kwamba USA anazidia uwezo...
3 Reactions
89 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,670
Posts
49,579,251
Back
Top Bottom