Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
9 Reactions
135 Replies
2K Views
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa. Huu mfupa Tundu Lissu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe tu za Fisi kufuatilia mkono wa...
2 Reactions
39 Replies
428 Views
Vijana tujitahidi kutunza pesa kuna magonjwa,Kuna ajali Kuna uzee vijana wanatembea na msemo wao wanaosema kuwa wanaokula ujana maisha ni mafupi ukiwakuta huko sehemu za starehe wanakunywa pombe...
3 Reactions
3 Replies
23 Views
Yani wewe ubaki na simu yake hlf akupe yake kwa KUTWA MOJA tu. eti wakuu? inawezekana au tuwaache kwanza? maana wengine hamkawii kudai tunawaonea wivu[emoji102]
3 Reactions
29 Replies
275 Views
Unajua kabisa kuwa yelu ni mke/ mume na fulani na wewe unakwenda kuingiza au kuingizwa humo humo, midomo aliyeinyonya yule na wewe unakwenda kuinyonya hiyo hiyo .assshh kinyaaa, ni sawa na kula...
4 Reactions
13 Replies
211 Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
29 Reactions
123 Replies
3K Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
4 Reactions
63 Replies
819 Views
Wakuu salaam...... Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz.... Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na...
1 Reactions
10 Replies
152 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,463
Posts
49,605,070
Back
Top Bottom