Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
3 Reactions
10 Replies
367 Views
Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
0 Reactions
17 Replies
414 Views
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa safu yote ya Mawaziri chini ya Amiri Jeshi Mkuu Mama Samia. Nieikubali safu hii ya mawaziri aliyo ipanga wanachapa kazi. Kila nikiwasikiliza na kuwatizama...
1 Reactions
14 Replies
64 Views
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni. Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua viwanja...
8 Reactions
25 Replies
722 Views
  • Poll
Yani wanawake sahivi hyo ndo habari ya mjini,tigo tigo duh kiasi kwamba kukwepa hicho kitu ni ngumu wakuu TUFANYAJE???
1 Reactions
8 Replies
41 Views
🇿🇲 Mwaiseni! 🇿🇲 This thread is for all Zambians and friends of Zambia who want to exchange stories and news from home. To those living in Tanzania or other countries: What do you guys miss the...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hili ni somo kubwa kwa vijana. Biteko ameonyesha kivitendo, unapopata cheo kikubwa, tusipandishe mabega!
1 Reactions
4 Replies
172 Views
Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona...
12 Reactions
72 Replies
933 Views
Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Waziri wa Maji Juma Aweso ameliambia Bunge na Wananchi kwamba Samia ni suluhu ya matatizo ya Maji Nchini na kwamba ameonesha Kwa vitendo maana...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178...
0 Reactions
5 Replies
72 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,470
Posts
49,605,228
Back
Top Bottom