Chadema na uongozi wenu jengeni chama mstumie muda mwingi kurumbana muda ni mdogo whoever atagombea urais ataliwa kichwa bora mkagombee kwenye majimbo tupate wabunge wa kujenga hoja. Hakuna wa...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya...
Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
Hadi Sasa plate number zinasoma EH... ikiwa ni miezi 6 tu toka herufi E kuzinduliwa.
Inasemekana Kila herufi ndani ya herufi kuu Inabeba magari 1000. Hivyo toka Herufi E Imeanza tumeagiza magari...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watoa huduma za usafirishaji abiria kupitia njia mpya na ya dharura kwa safari za kati ya mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Mtwara wasiwatoze...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna...
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.