Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais. Kutokana na Kushindwa...
0 Reactions
10 Replies
95 Views
Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko...
3 Reactions
22 Replies
556 Views
Huna kazi, huna biashara, huna urithi, huna pesa, hujasoma UDSM, huna ujuzi wowote, huna mzazi tajiri, huna kipaji halafu unamuomba Mungu akupe maisha marefu, sasa utakula nini?
1 Reactions
15 Replies
149 Views
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu,niwalevi,na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
2 Reactions
9 Replies
118 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
926 Reactions
1M Replies
40M Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
11 Reactions
107 Replies
2K Views
katika mazingira tofauti tofauti, mathalani mitandaoni, vyuoni na majukwaani kuna aina tofauti tofauti za wanasiasa na siasa. wapo vijana katika siasa, wazee, wanawake kwa wanaume. wapo...
1 Reactions
20 Replies
173 Views
Inashangaza unakuta mfanyakazi mwenzako kasoma Sawa ana master ila kuandika kuomba hela za miradi Kwa ma donors wetu hawezi sijui niseme hana idea wakati kila kitu kipo Google ni yeye kusuka tu...
17 Reactions
50 Replies
952 Views
Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
8 Reactions
47 Replies
537 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,118
Posts
49,595,316
Back
Top Bottom