Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa...
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna...
Habarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
jaman naitaji MTU alie na utayari maana niliwaambia nimepata MTU ila mshirika mwenyewe kanikimbia tumekubaliana me niandae mazingira yote ya jko na vyombo arafu yeye atatoa pesa ya maitaj yani...
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingii moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel.
Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa...
Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi hao ingali mapema...
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM
Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa
Shehe Musa Hassan, Hussein...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.