Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich...
Wakuu.....
Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa.
Ipo hivi.....
Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi.
Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekua kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo.tuwasaidie hawa watoto na wapita...
Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania.
Nikienda kwenye mada...
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu
SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA
Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.