Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
Habari wanadamu
Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni?
Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti...
hii video nimetumiwa,jamaa huko mwanza kajirusha alikuwa
Kwenye daraja la mabatini
Chanzo inasemekana mambo ya mapenzi
Tukirudi kwenye hiyo video ukiangalia,wakati yuko juu watu wanampita hawana...
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja...
Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba?
Nikaanza kuangalia jinsi mitumba...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Hii tafsiri ya Dr Elli wa Chomoza ya Clouds tv kuhusu Upumbavu nimeichukulia kwa usahihi kabisa hususani kwa Wanasiasa
Kijana wangu Sam Sasali muulize Dr Elli, je CHAWA ni nani?
Nasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.