Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mechi baina ya Simba dhidi ya Azam ndio itakayotoa mwanga ni timu ipi inaweza kucheza klabu bingwa msimu ujao. Azam wakiwa wameshuka dimbani mara 25 wakijikusanyia alama 57 wanapigana vita dhidi...
0 Reactions
14 Replies
511 Views
Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake...
3 Reactions
37 Replies
316 Views
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto...
7 Reactions
32 Replies
575 Views
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi. 2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu. 3. Wanaccm wanalalamikia...
13 Reactions
57 Replies
1K Views
Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
1 Reactions
1 Replies
52 Views
Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
3 Reactions
85 Replies
611 Views
Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa. kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika...
0 Reactions
1 Replies
35 Views
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
2 Reactions
49 Replies
980 Views
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko...
5 Reactions
18 Replies
324 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,830
Posts
49,586,474
Back
Top Bottom