Huyu bwana ni Mzanzibar ameuliza maswali muhimu kwa Watanganyika.Hivyo basi nami,nimeleta kwenu GT kupata majibu ili tuweze kumbaini mchawi wetu alikuwa nani juu kuuzwa kwa Tanganyika yetu...
Chekechea na Primary nimesoma english medium private.
Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana.
Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe...
A/alleikum
Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam.
Umri 32 miaka.
Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer)
Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana
Sifa
Uwe Muslim
Elimu yoyote...
Kwanza huku mitaani tuwatenge machawa wao
Tusitoe ushirikiano wa haina yoyote kwao
Yani tuishi kwa kubaguana
Yani ukiona raia mtaani kwako anaisifia serikali au chama
Mtu huyu hata akija...
Salaam wandugu,
Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke...
✨ Your Trading Journey Begins Here ✨
Are you ready to dive into the world of Forex and come out a trading champ? 🏆 BIG BOYS CLUB INVESTMENTS is offering a FREE Forex course that you can't afford...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.