Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
71 Reactions
410 Replies
13K Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
10 Reactions
62 Replies
784 Views
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi...
27 Reactions
188 Replies
3K Views
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
3 Reactions
16 Replies
268 Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
16 Reactions
121 Replies
5K Views
Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi. 1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu...
1 Reactions
6 Replies
119 Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
10 Reactions
139 Replies
2K Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
14 Reactions
173 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,606
Posts
49,579,420
Members
668,075
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom