Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya...
5 Reactions
10 Replies
167 Views
Mzuka wanajamvi! Yuko london Ungereza endeleeni sasa kuroga na kumuombea mabaya. Anachowaombea tu ni wawili muishi maisha marefu na msiwe vipofu. Kufa hamfi lakini cha moto mnaona.
2 Reactions
12 Replies
13 Views
Hapa hatujapigwa kweli wakuu?
2 Reactions
9 Replies
182 Views
Habari wanadamu Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni? Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti...
2 Reactions
12 Replies
244 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Naandika kwa mara ya nne. TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu. Wamejitahidi...
0 Reactions
4 Replies
75 Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
10 Reactions
66 Replies
839 Views
Wakuu..niko morogoro wilaya flani kikazi. Hapa kuna mchepuko wangu flani,so kwa jinsi mvua zinavyopiga huu mkoa nikasema ngoja nikajipumzishe kwa huu mchepuko..ebana nilikua na mavuzi mengi tu coz...
5 Reactions
17 Replies
88 Views
Kuna sehemu nimesoma, mwanasheria mmoja kutoka kwa Majirani zetu, Kenya, Anasema kwamba, kwa mujibu wa sheria, kama ulimuoa single mother, ukaanza kuishi naye na ukaanza kum-support yeye na...
1 Reactions
1 Replies
53 Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
8 Reactions
77 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,619
Posts
49,579,794
Members
668,073
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom