Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh Joseph Selasini Mahakamani ktk Kesi aliyofungua Mh James Mbatia ya Kumdhalilisha.Katika Kesi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
7 Reactions
47 Replies
721 Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Kuna sehemu nimesoma, mwanasheria mmoja kutoka kwa Majirani zetu, Kenya, Anasema kwamba, kwa mujibu wa sheria, kama ulimuoa single mother, ukaanza kuishi naye na ukaanza kum-support yeye na...
3 Reactions
8 Replies
128 Views
1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!" 2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk. 3. Kuna azimio...
1 Reactions
19 Replies
207 Views
Nakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato. Siku hizi haionekani kabisa?? je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!. Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red...
2 Reactions
16 Replies
210 Views
  • Suggestion
Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini...
0 Reactions
1 Replies
27 Views
Habari ndugu! Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
  • Suggestion
NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
29 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,632
Posts
49,580,237
Members
668,073
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom