Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena.
Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya...
Inashangaza sana kuona CCM haitaki kabisa kuendeleza Mchakato wa Upatikanaji wa KATIBA MPYA KATIBA inayohitajika sana na WANANCHI.Mchakato huu ulianzishwa na Mwenyekiti wa CCM wa AWAMU ya 4...
Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji.
Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es...
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya...
Huyu mzee namkubali sana, Haya mahojiano yake nahisi ni sehemu ya kwanza, KIkubwa ninachomkubali nikuwa sio mramba makalio, na yupo straight forward...
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.