Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Huyu jamaa ni shida..... Ameshindikana. Kila mtu amejaribu lakini kashinwa. Fatma kanyamaza kabisa baada ya kujibiwa na Lissu. Kimefanyika kikao kujadili hoja zake wakaamua kumtuma Kinana. Naye...
7 Reactions
47 Replies
831 Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
0 Reactions
10 Replies
117 Views
Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
3 Reactions
37 Replies
922 Views
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
4 Reactions
111 Replies
2K Views
Wakuu habari? Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana. Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta...
16 Reactions
120 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
10 Reactions
151 Replies
4K Views
Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms...
1 Reactions
3 Replies
46 Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro @saidnguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya...
0 Reactions
5 Replies
219 Views
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
7 Reactions
92 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,424
Posts
49,573,744
Members
667,935
Latest member
Regina Minja
Back
Top Bottom