Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
32 Reactions
102 Replies
2K Views
Yani ni minyuko tu ya Ban.. Oya.. lipeni watu mishahara.
9 Reactions
10 Replies
179 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
17 Reactions
105 Replies
1K Views
Katika utoto nilikuwa na matarajio katika kila kitu lakini mara nyingi matarajio yalinidhirumu, naamini hata wazazi wangu walikuwa na matarajio pia. Nilitarajia kila jambo linahitajika kuwa...
3 Reactions
2 Replies
65 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
10 Reactions
96 Replies
2K Views
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz...
4 Reactions
29 Replies
285 Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
13 Reactions
42 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kijamii...
0 Reactions
4 Replies
32 Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
12 Reactions
97 Replies
3K Views
Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa...
1 Reactions
12 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,364
Posts
49,571,645
Members
667,904
Latest member
kipscalich
Back
Top Bottom