Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi...
21 Reactions
129 Replies
3K Views
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
5 Reactions
61 Replies
791 Views
Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite), Imenifikia tyr lakini laini hazisomi,,, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
1 Reactions
7 Replies
51 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Leo kanisani nilikuwa na Kigogo mmoja wa UVCCM mkoa wa Pwani ambapo alinipa ABC za vita yao na mwanamitandao Mange Kimambi. Jamaa ameniambia mwaka huu lazima mwadada huyo aombe msamaha rais na...
2 Reactions
14 Replies
200 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
16 Reactions
70 Replies
796 Views
A 30-year-old from Dar es Salaam is on the loose and craving some dinner company tonight! After a week of work in your lovely city, he's ready to spice up his evening with good food and even...
3 Reactions
21 Replies
304 Views
Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuunguq moto vibaya ingawa wanacnhi waliwaokoq kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu maswala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz...
1 Reactions
15 Replies
122 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,355
Posts
49,571,307
Members
667,909
Latest member
kipscalich
Back
Top Bottom