Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CHADEMA imedhihirisha kuwa inachukia matendo maovu, na kwenye uovu wamedhihirisha hawana subira wala simile, hawaangalii anayefanya hilo ni wa chama chao au mtu wa nje. CHADEMA imejitofautisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Yani ni minyuko tu ya Ban.. Oya.. lipeni watu mishahara.
7 Reactions
9 Replies
106 Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
7 Reactions
77 Replies
445 Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
8 Reactions
69 Replies
1K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
209K Views
Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
10 Reactions
93 Replies
4K Views
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku...
4 Reactions
22 Replies
72 Views
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa Credit: Mkuu...
4 Reactions
14 Replies
393 Views
Hii Tanzania imegawanyika Katika Kanda mbalimbali, Kanda ya ziwa, Pwani, kusini, kaskazini. ILA Chá ajabu inaonekana watu wa Kanda ya kaskazini mashariki ni weupe sana na wanang'aa sana, pía wa...
5 Reactions
129 Replies
19K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,323
Posts
49,570,549
Members
667,863
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom