Wanaume wenzangu hivi unapomfunua msichana ukamkuta Bikra inaweza kuwa sababu ya kumuamini kuwa umepata binti mwenye kujielewa na kuhifadhi tupu yake?au ni magumashi?
Mzee kinana bora ungekaa kimya kuliko kusema. Ukiwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa kumtafuta Mgombea wa CCM ushiriki wako katika DHULMA mliyomtendea Hayati Edward Lowassa wewe pia ni Mshiriki...
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana...
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa
Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu...
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua.
Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia
Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa...
Camarades, na Wadau wa Mpira.., ni ukweli usiopingika kwamba Ligi yetu haina ushindani na Timu nyingi ni masikini na mashabiki hakuna kutokana na ushindani mdogo...
Kwa ushauri ni kipi...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.