Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana...
3 Reactions
14 Replies
174 Views
Saikolojia ya mapenzi kwa dakika chache bila kukuboa. Binadamu tunaishi kujifunza na kutumikia matamanio ya miili yetu hasa starehe ya mapenzi. umaarufu and power ni nyongeza hisio ya msingi sana...
4 Reactions
47 Replies
544 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
26 Reactions
161 Replies
3K Views
Lengo ni kuona mitindo mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za chini
0 Reactions
10 Replies
131 Views
Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP): "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita...
4 Reactions
33 Replies
775 Views
Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye bahati za juu duniani Frane Selak alizaliwa tar 14/6/1929 nchini Croatia kitaaluma ni mwalimu wa mziki .....kwanini ameingia kwenye orodha ya kuwa ni miongoni...
6 Reactions
22 Replies
442 Views
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo...
2 Reactions
8 Replies
134 Views
Gari mbili za kampuni ya Dangote zimegongana na watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha. Ajali imetokea eneo la Njonjo barabara ya kueleke mikindani
5 Reactions
29 Replies
756 Views
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye...
1 Reactions
12 Replies
311 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,386
Posts
49,572,287
Members
667,904
Latest member
kipscalich
Back
Top Bottom