Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
11 Reactions
281 Replies
9K Views
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua. Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
20 Reactions
153 Replies
3K Views
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji. Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena. Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
4 Reactions
20 Replies
187 Views
"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
2 Reactions
17 Replies
274 Views
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya...
4 Reactions
18 Replies
205 Views
Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
20 Reactions
71 Replies
1K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Yasadikika ziwa Victoria limeongezeka maji, Kutokana na hizi Mvua za mfululizo, kudhiirisha ayo maeneo ya pembezoni mwa ziwa maharufu kwa jina la miyalo yote yamemezwa na maji na maeneo mengine...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,475
Posts
49,575,993
Members
667,972
Latest member
Gift Estomy Petro
Back
Top Bottom