Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled"
This was me today after I learned about the passing...
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua.
Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May...
Dunia ya leo kila kitu kiko kwenye mitandao, Mh. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ni muda muafaka kuhakikisha maeneo ya Vyuo na Shule za Secondary internet inapatikana bure...
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa.
mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Nina mawazo kuacha kazi...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Salaam, shalom!
Nimesikia kauli ya mbunge mmoja akitamka kauli ya hatari mbele ya viongozi wake wa chama na mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara.
Amesema hadharani...
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.