Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
Habari zenu, kuna fursa nimepata nzuri sana ila sina capita ya kutosha iko ivi.
Kuna jamaa anafanya kazi kampuni fulani ya mafuta ya kupikia, yaani kiwanda kipo nchi fulani kisha Tz kuna brach...
UNAWEZA KUDHANI AMELALA, KUMBE AMEKUFA.
Ni miaka mingi toka afariki dunia, lakini hakuzikwa. Badala yake serikali iliamua kuuhifadhi mwili wake ili uwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo. Hiyo ni...
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Match Day
NBC Premier League
Mashujaa Vs Yanga
Lake Tanganyika Stadium
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.