Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
154 Views
Wapo watu (Space Brothers) wanasema value system ya NHIF yetu ni all wrong. "It does not follow the value system of National Insurance in general". Kwa hiyo there is the suggestion kwamba NHIF is...
1 Reactions
9 Replies
188 Views
Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni...
1 Reactions
7 Replies
184 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
22 Reactions
185 Replies
8K Views
Mufti kuku The Infinity kwenye picha ya pamoja na paka wake Cc BICHWA KOMWE -
9 Reactions
184 Replies
3K Views
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi...
16 Reactions
135 Replies
2K Views
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
3 Reactions
41 Replies
2K Views
TUNA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA MABINT WANAJIUZA KIJANJA JANJA Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Baada ya kupitia changamoto za kutengana na aliyekuwa mke wangu, nilianza heka heka za kutafuta...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Nipo ndani ya jukwaa la lugha na pia napenda kutumia fursa hii kuwashukuru members wote wa jamii forums. Lengo langu nikutaka kukuletea fursa mbalmbali za kujifunza lugha wakati unapokua KWENYE...
38 Reactions
84 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,227
Posts
49,567,491
Members
667,810
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom