Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametotoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
6 Reactions
22 Replies
400 Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
7 Reactions
82 Replies
2K Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
36 Reactions
386 Replies
4K Views
Habari wana JF, Nina shida na kazi yoyote. Mimi ni kijana wa miaka 25 nimefanikiwa kufika form six, changamoto ya ada ikanifanya niishie mwaka wa kwanza MBEYA UNIVERSITY (MUST) nataman kuludi...
1 Reactions
2 Replies
41 Views
NATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
1 Reactions
18 Replies
111 Views
SADIO MANE MTOTO WA SHEIKH, FUKARA ALIYEAGWA KWA MAJI YA MTO CASAMANCE . Takribani 383 kilometa kutoka Dakar mji Mkuu wa Senegal mpaka Sedhiou kijiji cha Bambali, kwa UBER ni masaa sita na dakika...
4 Reactions
3 Replies
81 Views
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
1 Reactions
19 Replies
394 Views
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa...
13 Reactions
71 Replies
1K Views
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
16 Reactions
42 Replies
516 Views
Kwenye Biblia, Adam alipoulizwa kwa nini kala tunda alilokatazwa, alijitetea kuwa si kosa lake, bali kashawishiwa na mke wake. Ingelikuwaje kama angelikubali kosa na kuomba msamaha? Daudi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,093
Posts
49,564,400
Members
667,792
Latest member
Nimechoka Sana
Back
Top Bottom