Habari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi...
Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na...
Tunakumbushana ukubwa tu wa hiki Chama kikuu Cha Upinzani Chadema
Ndani ya CCM ukistaafu Uwaziri mkuu unaweza kugombea uRais wa JMT au Umakamu Mwenyekiti wa Chama
Ila Chadema Kanda ni kipimo Cha...
Wabongo huwa hawajali kumhudumia mtu. Ukiisha walipa imetoka hiyo. Juzi kati Yanga walikuwa na mechi watu waliingia bure na VIP walilipia. Watu wa VIP kufika uwanjani wanaambiwa siti za VIP...
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Ukipita mitaani ni kilio Cha Kikokotoo kwa kila Mstaafu unayekutana naye
Ukiwa Mjini Posta kila kona kuna majengo makubwa makubwa ya mifuko ya Kijamii wamepangisha Wahindi na taasisi zao
Ndio...
Habari Wana JF !
Ni hakika Kwamba ni mambo (Siri) mengi yamefichwa Kwa mamillion ya watu Duniani kote , lakini ukijaribu kuwaambia watu Ukweli HAWAKUELEWI .
Ni hivi Ulimwengu huu wa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.