Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth...
Ukiangalia mitume wale 12,
Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.
Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa...
Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP):
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita...
Serikali ya Israel imetoa offer ya Ajira 100000 kwa wananchi wa Malawi.
Waziri wa uchumi wa Israel amezungumza hayo kwa maafisa wa Serikali ya Malawi
Nafasi za Ajira zipo za kumwaga mashambani...
Hoteli ya Lahe hotels Mwanza inahitaji Kuajiri proffessional mfanyakazi wa vyumbani kwa mshahara 150000/= tafadhali wasiliana na meneja 0715450012 au 0655290084.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.