Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.
Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo...
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa).
Moja ya vipimo...
Habari wakuu? Moja kwa moja kwenye mada:
Kuna mdada nilikutana nae kimapenzi tarehe 16/04/2023, baadae akadai ana mimba yangu.
Mimi kwa kuwa nilikuwa na mashaka na ile mimba nikajipa muda nione...
Kumekuwa na maoni kadhaa kuhusu ni bati kutoka kampuni ipi hasa ya kutumia wakati wa kupaua ukizingatia tofauti ya bei kutoka kampuni hizo, uku kukiwa na maneno kuwa kuna baadhi ya kampuni zinauza...
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.