Wanakumbi.
MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU
Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu.
Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na...
Source: Kitini cha sheria
UTANGULIZI
Hapo nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu utu wa Watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na...
Simba watamsajili djuma Shabani kama mbadala wa kapombe
Baada ya kuachana na klabu ya Yanga msimu uliopita Na kutua Azam FC, beki wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shabani anategemea kujiunga na...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Kutokana na ongezeko la ajali za barabarani kutokana na mwendokasi na matukio mengine mengi ya barabarani nafikiri umefika wakati sasa Jeshi la polisi/ Wizara ya Mambo ya Ndani ipeleke muswada...
Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.