Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa Zitto Kabwe amekubaliana na...
0 Reactions
31 Replies
232 Views
CHECHEFU MAHAKAMANI TENA Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo - ikitetewa na wakili yule...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
5 Reactions
90 Replies
1K Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
14 Reactions
167 Replies
6K Views
Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu?
4 Reactions
4 Replies
54 Views
Faida ya hizi Radiocalls : 1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero. 2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
11 Reactions
231 Replies
7K Views
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu. Nini kimebadilika wakuu? Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti? Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
6 Reactions
20 Replies
249 Views
Nimelazimika kuleta Uzi huu, kutokana na kuona ongezeko kubwa la watoto wa mitaani, yatima, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, machokoraa, "panya road" na kadhalika. Ukichungiza matatizo...
0 Reactions
3 Replies
37 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,523
Posts
49,577,673
Members
668,028
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom