Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa. Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
19 Reactions
89 Replies
2K Views
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
18 Reactions
115 Replies
2K Views
Yasadikika ziwa Victoria limeongezeka maji, Kutokana na hizi Mvua za mfululizo, kudhiirisha ayo maeneo ya pembezoni mwa ziwa maharufu kwa jina la miyalo yote yamemezwa na maji na maeneo mengine...
0 Reactions
9 Replies
424 Views
Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu?
2 Reactions
1 Replies
2 Views
  • Suggestion
Leo nitachangia kidogo sana kupitia mpango wa maendeleo ambao watu wengi wanaweza kuuona kuwa ni wa ajabu sana. Nianze kwa kuuliza swali, inatufaidia nini kuwa na mbuga nyingi zinazoingiza kidogo...
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
62 Reactions
333 Replies
10K Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
5 Reactions
32 Replies
514 Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa Zitto Kabwe amekubaliana na...
0 Reactions
12 Replies
30 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,514
Posts
49,577,424
Members
668,016
Latest member
Diyor
Back
Top Bottom