Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
6 Reactions
340 Replies
19K Views
Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na...
2 Reactions
13 Replies
181 Views
  • Suggestion
Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapo nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu utu wa Watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na...
5 Reactions
8 Replies
101 Views
Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
3 Reactions
52 Replies
982 Views
Simba watamsajili djuma Shabani kama mbadala wa kapombe Baada ya kuachana na klabu ya Yanga msimu uliopita Na kutua Azam FC, beki wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shabani anategemea kujiunga na...
3 Reactions
12 Replies
599 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
58 Reactions
307 Replies
9K Views
Kutokana na ongezeko la ajali za barabarani kutokana na mwendokasi na matukio mengine mengi ya barabarani nafikiri umefika wakati sasa Jeshi la polisi/ Wizara ya Mambo ya Ndani ipeleke muswada...
6 Reactions
316 Replies
22K Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
6 Reactions
87 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,493
Posts
49,576,760
Members
668,010
Latest member
Kasawala Mussa
Back
Top Bottom