Nimekuwa Nafuatilia sana Mijadala juu ya UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA NCHINI.Miongoni mwa Watu ambao nilitamani kuwasikia WAKIIPAMBANIA KATIBA MPYA ni pamoja na Muanzilishi wa MCHAKATO ule Mh sana...
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi
Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015...
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.
Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?
Kama linafanya kazi stakeholder na...
Wapo wale ambao ndio wanaanza, wengine wapo katikati ya tendo, wengine wapo kileleni full kutetema, achana na wewe ambae umemaliza sasa unapumzika kwaajili ya round nyingine.
Sasa nasema , nyie...
C & P.
BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana.
Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.