Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
11 Reactions
107 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
2 Reactions
114 Replies
1K Views
Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
7 Reactions
25 Replies
99 Views
Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa...
2 Reactions
29 Replies
672 Views
Wakuu, Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
14 Reactions
45 Replies
2K Views
Sasa wananchi tukimbilie chama gani? https://twitter.com/Tanzaniawall/status/1786251731120058804?s=19
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa...
6 Reactions
34 Replies
627 Views
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki. Huu ni mwaka wa kumi na tana ndani ya jamii forum......(si mchezo). Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana. Na wale tunaopishana...
5 Reactions
15 Replies
54 Views
Ni maamrisho ya Mungu,ni lazima muoane,msidanganywe na hadaa za walimwengu
1 Reactions
2 Replies
55 Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
7 Reactions
49 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,673
Posts
49,552,690
Members
667,575
Latest member
BabuKijiko
Back
Top Bottom