Sijawahi kutumia TikTok hapo kabla, ni jana tu nimejiunga huko mjini TikTok. Hii ni baada ya mshikaji wangu mmoja mara kibao amekuwa akiniambia kuwa kule kuna vichekesho ambavyo kama huna mbavu...
Mkoa wa Mbeya ni Kati ya Mikoa mitano iliyopo Nyanda za Juu Kusini sanjali na Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Songwe, Njombe na Rukwa. Mbeya ilianzishwa mwaka 1961.
Mkoa wa Mbeya umejaaliwa kila kitu...
Je unaujua ufuta au umesikiakuhusu ufuta km unaujua Wacha nikujuze zaidi km ujui Wacha nkujuze, ufuta ni Zao linalolimwa zaidi kusini mwaTanzania mikoa ya ya Lindi na Mtwara zaidi unalimwa mkoa wa...
Raha ya tendo la ndoa wote mfurahie si kukaa kama gogo kitandani.
Kufanya tendo la ndoa walikuwa kwenye mahusiano lazima kila mtu afurahie utamu wa tendo la kufanya mapenzi sio kukaa kama gogo...
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...
wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani...
Match Day.
NBC Premier League.
Simba vs Mtibwa
Azam Complex
04.00 PM
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa...
"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya...
Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amesisitiza dhamira ya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.