Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na...
1 Reactions
19 Replies
678 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
1 Reactions
59 Replies
578 Views
Naomba kufahamishwa kodi ya basi jipya la umeme toka China la thamani ya dola za kimarekani 6000 nitalipa sh ngapi.. Na ninyi watu wa mazingira je?mwaweza kunipa kibali cha unafuu niletapo basi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hii maana yake ni nini Nimeshangaa Kama ni masters ninayo
2 Reactions
5 Replies
145 Views
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu...
1 Reactions
2 Replies
270 Views
Wakuu, Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players. Imepigwa ndani nje Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10 Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
26 Reactions
156 Replies
4K Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
5 Reactions
264 Replies
6K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,850,623
Posts
49,551,629
Members
667,561
Latest member
Samson dana
Back
Top Bottom