Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Salaam, Shalom!!
Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama.
Amedai...
Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule.
Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni.
Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri...
Wanaukumbi.
Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
Salam kwenu Watanganyika na wazanzibari!
Tumeshuhudia Dp world wakiripotiwa kuwa wameanza majukumu pale bandari salama. Hatua kadhaa zimekuwa zikuchukuliwa kuweka mifumo yao sawia.
Sote...
Kwa kawaida kifo cha mtu uliyefunga nae pingu za maisha huwa kinasikitisha sana, lakini baadhi ya taratibu za kimila zinazofanyika katika maeneo mbalimbali duniani zinaweza kumfanya mjane kuumia...
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake.
Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk...
Kama mwanamume nilijisikia vibaya ila kwa lile Traako no ilikuwa lazima nichape
Kuna demu alipata kazi za muda mkoa ninaofanya kazi sasa kuna siku natoka kazini nikapitia hapo ofisi yao uwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.