Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
3 Reactions
11 Replies
328 Views
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk...
18 Reactions
54 Replies
2K Views
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
9 Reactions
53 Replies
1K Views
Neno linalotumika kutafsiri neno la AI artificial intelligence Kwa Kiswahili sio sahihi kuita ajiri bandia ni kupoteza maana harisi ya Ai artificial intelligence Neno kwenye maana Bora iitwe...
0 Reactions
4 Replies
37 Views
Try Again na Kamati ya Usajili ya Simba Hawapaswi Kuhusika kwa chochote Kwenye Mipango ya Timu kwa Msimu Ujao Huyu try Again hakuna anachojua kwenye mpira, ni kiongozi aliyehusika kuleta...
0 Reactions
6 Replies
69 Views
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
6 Reactions
40 Replies
356 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini. Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
0 Reactions
19 Replies
299 Views
Mafundi waliopelekwa nyumbani kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba wametumia mwanya huo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali kwenye nyumba hiyo, pale waliposafiri na kumuacha housegirl...
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
24 Reactions
188 Replies
3K Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
21 Reactions
56 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,515
Posts
49,548,976
Members
667,531
Latest member
Gerard lupin
Back
Top Bottom