Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
17 Reactions
136 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile Umekaa umetulia zako ghafla simu...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
2 Reactions
6 Replies
115 Views
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅 Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo...
0 Reactions
3 Replies
85 Views
Ndugu zangu anpenda kumpongeza mama Samai Kwa kupiga chinia mambi ya kimagufuri.Sasa tunaona umetangaza ajira zilizonuwa wakilati wa presidential unit amabzo zimetangazwa na Oficce ya mipango.Safi...
0 Reactions
9 Replies
86 Views
Salam kwenu. Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje ! 1. Changu 2. Sato 3. Kibua 4. Sangara 5. Kambare 6. Perege 7. Migebuka 8. Pweza 9...
3 Reactions
262 Replies
48K Views
Salaam kwenu wabongo wenzangu, Bila kupoteza muda naomba Kusaidiwa ushauri kama ifuatavyo; Ninataka cheti cha kuzaliwa cha binti yangu wa nje mwny miaka 13. Nilipewa procedures kwamba niombe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
2 Reactions
2 Replies
38 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
6 Reactions
45 Replies
342 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini. Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
0 Reactions
2 Replies
16 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,496
Posts
49,548,127
Members
667,507
Latest member
tonnie de viola
Back
Top Bottom