Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Mimi ni shabiki wa Simba na ninawapenda wachezaji wanaojituma na kuipambania klabu.
Hata hivyo ninasikitishwa na upuuzi ninaouona mitandaoni eti sisi wana Simba tunaombwa tusimng'ang'anie Kibu...
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players.
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.