Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi...
2 Reactions
12 Replies
172 Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
15 Reactions
254 Replies
5K Views
Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
1 Reactions
4 Replies
66 Views
Wadau mtaniwia radhi kwa hili, Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule. Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda. Wakati ule...
4 Reactions
22 Replies
846 Views
Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote...
1 Reactions
3 Replies
88 Views
Kama kichwa cha habar kisemavyo sina maelezo mengi. Je wana JF waweza jiuliza kwanini unatumia hilo jina hapa JF? Na watu wakilisoma labda watapata ushawishi gani akilini mwao? Sent using Jamii...
3 Reactions
20 Replies
201 Views
Mwaka 2020 masikini mmoja aitwaye George Floyds alikufa kwa kukandamizwa chini na askari aitwaye Derek. Mkasa ule ulizua maandamano makubwa kote Marekani kwa miezi kadhaa. Mwaka huu askari...
1 Reactions
9 Replies
283 Views
Habari yenu wana jf nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali. Yaani mkikutana faragha mashine yake...
0 Reactions
1 Replies
42 Views
Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza...
4 Reactions
11 Replies
83 Views
Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo...
2 Reactions
15 Replies
144 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,282
Posts
49,542,022
Members
667,377
Latest member
kawatega01
Back
Top Bottom