Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari za jioni? Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na...
12 Reactions
39 Replies
881 Views
Yani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga...
2 Reactions
20 Replies
99 Views
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
23 Reactions
126 Replies
3K Views
Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
4 Reactions
12 Replies
185 Views
Yaani hili sitapoteza muda nikisha apishwa Kisha na mm namuapisha mwanasheria mkuu Kisha baada ya Happ namuita mkuu wa majeshi na ulizi namcheki upepo wake Kisha namuita igp namsoma akili wakiwa...
1 Reactions
22 Replies
113 Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
14 Reactions
99 Replies
3K Views
Sultan Tamba na kundi lake la Tamba Arts group ambapo humo ndani unakutana na waigizaji kama Riyama Ally, Mwajabu Kazimili (Bi Nyamisi),Rehema Msangule (Doreen Nsyuka),Sanjo,Ringo,Chilisosi, nk...
15 Reactions
109 Replies
4K Views
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani...
4 Reactions
14 Replies
100 Views
Hali ya umaskini Kwa Wafanyakazi wa Umma Kwa Tanzania ni kubwa sana. Just imagine yaani 60% ya Watumishi wote wa Umma wanalipwa chini ya 500k. Pamoja na kulipwa kiasi hicho kidogo Bado wanakatwa...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
17 Reactions
307 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,290
Posts
49,542,390
Members
667,377
Latest member
kawatega01
Back
Top Bottom