Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
1 Reactions
48 Replies
369 Views
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki. Unfortunately maneno yamenza mara...
26 Reactions
152 Replies
4K Views
Habari za Leo wapenda soccer? Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano...
0 Reactions
3 Replies
42 Views
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢 Halaf mnaimba kuwa anaupiga mwingi...
2 Reactions
9 Replies
10 Views
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
9 Reactions
62 Replies
2K Views
Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa...
0 Reactions
34 Replies
497 Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye...
30 Reactions
279 Replies
17K Views
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Baada ya kuwaza Thread 'Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?' Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada? Nikaona thread ya jamaa humu akielezea kwamba unaweza...
6 Reactions
31 Replies
688 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,861
Posts
49,530,131
Members
667,250
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom