Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
4 Reactions
23 Replies
445 Views
Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba...
8 Reactions
12 Replies
884 Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
34 Reactions
191 Replies
4K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Baada ya kuwaza Thread 'Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?' Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada? Nikaona thread ya jamaa humu akielezea kwamba unaweza...
1 Reactions
8 Replies
30 Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?! 2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na...
5 Reactions
90 Replies
2K Views
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni. Hata hivyo...
1 Reactions
58 Replies
1K Views
1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani...
1 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,744
Posts
49,526,859
Members
667,224
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom