Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah
Nyie si ndio...
Nilikuwa safari yangu kuelekea Chato nikasimama mji mdogo wa katoro nje kidogo ya Geita. nikaenda sehemu kupata huduma ya vitu mbalimbali kisha nikaona nikiapate huduma ya kifedha na mambo mengine...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko...
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani...
Habari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?!
2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.